top of page
Screenshot_2018-04-08-20-34-26-1.png

Mikakati mipya na matarajio yatakayo simamiwa kielimu

Siku ya wazazi, siku ya afya, mikutano ya wazazi, kamati pamoja na uongozi wa shule wakiwemo walimu.

Kila siku kuna vitu vya kuvutia FVISchool! endelea kuperuzi na kufahamu zaid na muda wowote ukiwa na swali unataka kuuliza nafasi unayo

Home: Events
IMG_20210207_101900.jpg

PARENTS DAY

Graduation epic

A school day special for parents link with graduators (their childs), jump to the next level of their studies, a new year and new begining but new development for school, all graduators are coming from second year of Lgs to Grade 1 and Grade 4, done the international exam to Grade 5, lunch must be availabla. Good luck

Karibu! Focus Vision Islamic School

karibu ukutane nasi shuleni kwa msingi wa elimu ya watoto, Tunaenda pamoja nawe kufikia mafanikio kama tunavoomba Mungu.

Shuleni FVISchool, tunafarajika kutoa zawadi ya elimu adimu inayotolewa na wabunifu wazoefu kwa kukuza vyema msingi wa ufahamu na kuwezesha muendelezo wake. tembelea kurasa hii ili uelewe zaidi kuhusu Focus.

IMG_7109.JPG
IMG_7092.JPG
darsani
darasani
IMG_7199.JPG
IMG_7129.JPG
IMG_7153.JPG
IMG_7185.JPG
IMG_7191.JPG
IMG_7128.JPG
IMG_7122.JPG
IMG_7228.JPG
IMG_7187.JPG
IMG_7192.JPG
IMG_7128.JPG
IMG_7227.JPG
IMG_7127.JPG
IMG_7211.JPG
Home: Welcome

FVISchool Mission

Your Tomorrow Starts Now

  1. Tunawaboresha wanafunzi kupata ujuzi nje na ndani ya darasa.

  2. Kuwajenga wanafunzi kujihisi huru na maamuzi

  3. Kuzingatia majukum yao na kuweza kujikwamua kufanikisha kufikia malengo yao.

  4. Tunazawadia wanafunzi bahati tofauti za kuweza kuelewa mambo tofauti ya msingi na kujielewa.

  5. Kuwajenga umakini wakati wa kujaribu.

  6. Kuwa na furaha popote wapitapo kieleimu.

  7. Tunawajenga kujiamini kuongea kwa lugha ya kiengereza na nyenginezo.

  8. Kushiriki ipasavyo katika mambo ya msingi katiak jamii. Kwetu "Elimu ni ufunguo unaothaminiwa"

IMG_7309.JPG
Home: Our Mission

SAFARI YA KIMASOMO

Inawajia karibuni, mnamo mwezi wa 12 (December)

1. Sehemu ya wanyama (Zanzibar Park)

2. Fumba uptown city

 na mengine mengi utapata kuyajua kwa muda husika katika kurasa hii

History

Home: News
IMG_9533.jpg

Focus memory

started january 2016

january 4th 2016

“naamini kuna maajabu duniani lakini hakuna maajabu ispokua ni uwezo wa elimu.”
Usichoke kurudia kuperuzi kurasa hii kwa habari na matukio mbalimbali na tafakari zaidi upate swali la kuuliza. Muda wowote

nothing expensive in education

Abdy Mkanga

Home: Quote
IMG_7099.JPG

wasiliana nasi

Kazole Zanzibar

456-789-1234

  • Facebook

Thanks for submitting!

Home: Contact
bottom of page